Bodi ya ELIMU SACCOS LTD inawakumbusha kuweka Akiba kila mwezi, kukopa na kufanya marejesho kwa maendeleo ya SACCOS yetu.

TAKWIMU ZA CHAMA (2015 - 2025)

Tangazo Jipya

OFFER OFFER OFFER

Furahia punguzo la bei ya majiko ya INDUCTION maarufu "Jiko Janja" kutoka ELIMU SACCOS LTD msimu huu wa sikukuu za maonesho ya nanenane MOROGORO (Kanda ya Mashariki) na DODOMA(Taifa). Bei ya offer ni 125,000/= kwa Single Plate kutoka 150,000/= na 325,000 kwa Double Plate kutoka 350,000/=
NB:Bei hii ni kwa kipindi hiki cha maonesho tu na ni kwa wateja wanaonunua kwa cash tu