Bodi ya ELIMU SACCOS LTD inawakumbusha kuweka Akiba kila mwezi, kukopa na kufanya marejesho kwa maendeleo ya SACCOS yetu.

Jiunge Uanachama Mtandaoni

Zingatia yafuatayo kabla ya kujiunga!

Ndugu, unapaswa kuwa Mwajiriwa wa Serikari wa Halmashauri ya Morogoro katika kada ya Ualimu

Mahala penye * ni pamalazima kujaza.


Naomba kuwa mwanachama na ninakubali kufuata Masharti ya Elimu SACCOS Ltd.