Dira, Dhima na Tunu
-
Dira
Ni kuwa asasi ya kifedha yenye nguvu kiuchumi ili kuhudumia wanachama na jamii kwa gharama zinazokubalika katika soko la ushindani wa taasisi za huduma na biashara ya fedha.
-
Dhima
Ni kutoa huduma za kifedha zenye gharama nafuu kwa mwanachama na ili kuinua kiwango cha maisha,kijamii na kiuchumi.
-
Tunu
Tunu ni misingi inayokiongoza chama katika utendaji kazi na namna inavyohusiana na wadau wake, Tunu hizo ni;
- Huduma bora na kumjali mteja.
- Ubunifu na Weledi.
- Ushirikiano na Utawala bora.
- Udhibiti wa majanga